Sikiliza | Tilawa ya Ustadh Ali Qasemabadi ya Surah Al‑Hashr
Sauti ya tilawa ya aya 21 hadi 24 za Surah Al‑Hashr ya Qur'ani Tukufu kwa sauti ya Ali Qasemabadi, msomaji wa Qur’ani wa Haram Tukufu ya Imam Ridha (AS), inawasilishwa kwa wafuatiliaji wa tovuti ya IQNA.